Ulijiskiaje?
Una ushauri gani kwa wanaosoma chuo sasa hivi, juu ya supplementary.
Darasani kwenye lectures, seminars, presentations, group discussions, etc.; hujawahi kukosa hata siku moja, matokeo yake unakamatwa na supplementary na unatakiwa kusapua.
Huwa kitu gani kinaingila hapo kati na...