SUPPLY
Kwenye uchumi Supply ni zile bidhaa ambazo muuzaji yupo teari kuziuza kwa mda husika, kulingana na bei ya soko.
Mfano 1 :
Muuzaji wa saa, anaweza akawa ametengeneza jumla ya saa 100, lakini yupo teari kuuza 50.
Kwahiyo tutasema kwamba muuzaji ana STOCK ya saa 100, ila yupo teari ku...