Achana na Vita inayoendelea Kati ya Russia na Ukraine,siongelei hilo swala. Hapa namzungumzia Putin katika angle nyingine kabisa
Hizi hapa ni sababu zangu kwa nini namkubali Sana Putin ;
1. Ushoga Ni agenda inayopigiwa promo na magharibi ili Dunia nzima iingie kwenye huu ushetani wa kwenda...