Za jioni wakuu, supu ya pweza ni maarufu sana Dar es salaam mida ya jioni ambapo tunaona watu wanauza supu kwenye vimeza vyao.
Sasa kitu kinachofanya nije leo ni ulevi wa supu ya pweza aisee nimejitahidi kuacha nimeshindwa yaani kila nikitoka kazini njia ya kwenda nyumbani kuna kibanda...
Changamoto ya wanaume kuhangaikia nguvu za kiume imekuwa kubwa. Baadhi huamini kuwa supu ya pweza ni jawabu tosha, jambo lililomfanya samaki huyu ajipatie umaarufu mkubwa katika kunusuru ndoa na urafiki wa kimapenzi wa vijana wengi.
Kuna ukweli wowote kuwa supu ya pweza husaidia kuongeza...
Tatizo la nguvu za kiume na mwili kwa Dar es Salaam chanzo chake ni stress na lishe duni. Vijana wengi wanakula mlo mmoja.
Si ajabu kwa kukuta watoto wa kiume wana vidonda vya tumbo pale Dar. Maana yake mlo hafifu. Sasa mama badala ya kuwasaidia vijana kwa kuboresha hali zao ili waweze kujikimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.