Kutana na william Masvinu ambae ameshinda mara tano kwene shindano la mtu mbaya zaidi zimbabwe linaloenda kama Mr.Ugly
William anasema anandoto ya kwenda kimataifa.
Kama ni mpenzi wa meme utakua unamfaham.
Geuza changamoto kua fursa
Fursa kwa wote source: Africa fact zone
Ewe mwanaume, ukiona mpenzi wako anahangaika sana na make ups pamoja na mawigi ujue una mpenzi mwenye sura ya kiume lkn ana jinsia ya kike. Kachukua kila kitu toka kwa babake isipokuwa jinsia. Kiufupii umepigwa mwana kwetu. Pole sana.
Wenye sura zao huwa wanapakaa povu la sabuni mwilini mwao na...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu.
Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya.
Baada ya...
Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.
Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa.
Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga...
Kwa sababu kwa sisi wanaume, mdada akijipendekeza kwetu, hata kama kimuonekano tunamuona ni wa kawaida, sisi tutafanya naye ngono tu halafu tunapita hivi, tunakula hadi wadada vichaa Waokota makopo, yani kwa sisi wanaume mara nyingi mpaka tumkatae mwanamke kimapenzi, ujue huyo mdada tunamuona...
MWANASHERIA AMSHITAKI MKEWE KWA KUMZALIA WATOTO WENYE SURA MBAYA, NA HAKIMU AMWAGIZA MKE KULIPA FIDIA.
Gazeti la mtandaoni la KINEDA limeripoti habari yenye msisimko wa kipekee, ambapo mwanasheria mmoja aitwaye Jian Feng, amemshitaki mkewe kwa kumzaliwa watoto wenye sura mbaya. Bwana Feng...
Habarini za asubihi na shikamoni wakubwa na wadogo zangu hamjambo vijana wenzangu mambo vipi.
Mimi napenda sana kuchunguza chunguza mambo na kuwapima watu akili hasa hawa jinsia ya 'she'
Niliambiwa kwenye mtandao kuna wanawake wazuri sana na ni kweli ni wazuri na pia ni wasomi wazuri sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.