suruali zinazobana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanawake mkikutana na wenza wenu msivae suruali zinazobana, mnatia aibu!

    Ndugu zangu, Kuna tabia ya siku hizi ya wanawake kupenda kuvaa suruali. Kiukweli sio vazi baya ila kuna baadhi yao linawadhalilisha kwenye jamii. Mtu katoka kukutana na mwenza wake kimwili then kavaa suruali iliyobana bila hata mtandio wa kumstiri ni aibu. Nawasanua tu. No malice to anyone.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…