Wakuu Merry Christmas kwenu
Siku ya kwanza wewe kusikia jina KIBAKA ulikuwa unafikiria nini??🤔🤔😅😅
Kwangu Mimi nilikuwa najua ni wazee wa kubaka tu😅 yaani wao wakikukuta kwenye 18 zao hamna maelezo wao ni Wanakubaka TU.
Vipi kwenu wakuu??
Moja kwa moja kwenye mada husika
Mimi nilichogundua hii jamii forums ya sasa siyo ile niliyokuwa ninaijua kipindi ilipoanzishwa. Nina uhakika mada fikirishi, mada makini zingepata machangio/reactions lukuki na hoja mbadala za kupinga au kusupport hoja. Nakwambia kwenye mada fikirishi zilikua...
Habari wadau na ma Hustlers wote , mwaka huu wa 2024 ndio upo ukingoni tumebakiwa na miezi michache tuufunge mwaka.
Mwaka huu ulivyoanza watu walikuwa na slogan ya mwaka wa Ku force, swali la kizushi je ni kiasi gani cha pesa kikubwa ulichofanikiwa kukipata mpaka sasa? Na je, unahisi umefikia...
Tuseme Mtoto wako anapenda hesabu Ile balaa na anataka msaada wa baba/ mama.
Je, wewe kama mzazi unaweza kumpigia namba mpaka darasa la ngapi bila kudesa?
Kama miaka 10 iliyopita hivi nilipata safari ya kikazi kwenda huko mbali kwa muda wa miezi sita. Kwa sababu ndoa yangu ilikuwa bado ni changa, nikaona nimtafutie majukumu mazito mama watoto wangu ili nitakapokuwa huko nje, asiweze kushawishika na mabaharia wa mjini.
Nikampa kazi ya kwenda...
Swali la kizushi: Kwa hiyo english yako unayojivunia unaweza kugombana na mzungu masaa mangapi?
Yaan mfano imetokea mmekwaluza kidogo labda kakuovertake kibabe,kakuchukulia dem wako baa,au labda kakupakazia mbovu kwa bosi wako, demu au mwana.
Sasa yeye ni mzungu na lugha ya english ndo...
Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo?
Swali hili ni kwa waliosoma / wasomao chuo kozi ya udaktari (MD). Wengi wenu mlisoma kombi ya PCB kidato cha sita. Je, usingesoma PCB, usingeweza kuelewa na kufuzu kuwa daktari?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.