Mdau umewahi kupotoshwa na maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI)?
Je ni vitu gani unavizingatia katika kutambua maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia hii ili kuepuka kupotoshwa?
Utotoni ni kipindi ambacho watoto hupokea taarifa mbalimbali, zikiwemo Potofu na Sahihi, na mara nyingi huziamini hadi ukubwani.
Je, kuna Taarifa yoyote uliyoambiwa utotoni inayokupa shaka sasa, na ungependa kupata Uhalisia wake?
Novemba 14 ni siku ya Kisukari Duniani ikilenga kuongeza uelewa kuhusu Ugonjwa huo na umuhimu wa kuzuia na kudhibiti hali hii.
Kumekuwapo na Taarifa nyingi kuhusu ugonjwa huu, zikiwepo Sahihi na Zinazopotoshwa.
Je, Taarifa gani unahitaji kujua Uhalisia wake kuhusu Ugonjwa wa Kisukari?
Pia...
Wanaofanya Upotoshaji huwa wana lengo walilokusudia kulitimiza hivyo hawaachi wala kuchoka kufanya Upotoshaji wa Taarifa.
Ili kujikinga dhidi ya Upotoshaji, ni muhimu kufanya Uhakiki wa kila Taarifa unayokutana nayo.
Leo Oktoba 16 ni Siku ya Chakula Duniani, licha ya umuhimu wa chakula kwa afya ya Binadamu, kuna dhana Potofu nyingi kuhusu chakula katika Jamii
Kama mdau wa JamiiCheck.com, tujuze ni dhana gani umewahi kuisikia kuhusa chakula ambayo unahisi ni Potofu?
Baadhi ya wafanyabiashara hutumia Taarifa Potofu kutangaza bidhaa ili kuwashawishi wateja kununua. Wateja baada ya kununua, huweza kugundua walipotoshwa, na wakati mwingine, kutumia bidhaa hizo husababisha madhara
Kabla ya kununua na kutumia, ni muhimu Kuhakiki Usahihi wa Taarifa za bidhaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.