Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Kim Jong Un Alihudhuria shule ya serikali ya Liebefeld Steinhölzli huko Köniz, karibu na Bern, chini ya jina "Pak-un" au "Un-pak" kutoka 1998 hadi 2000 kama mtoto wa mfanyakazi wa ubalozi wa Korea Kaskazini huko Bern
Wanasiasa ni wale wale duniani kwote wanahubiri maendeleo ila watoto wao...
Maombi ya Watu takribani 371 waliokua katika mchakato wa kujaza fomu za kuiomba Serikali ya Switzerland iwaruhusu kujiua kupitia sanduku jipya maalum kwa ajili ya kujiua liitwalo ‘Sarco Euthanasia’ yamesitishwa baada ya Mwanamke mmoja wa Marekani kutumia kifaa hicho kujiua akiwa Switzerland...
Wadau naomba mwenye kunisaidia kunipa connection. niweze kwenda Uswiz (Switzerland). Lengo ni kupata mtu atakaye nipokea ili niweze kupata kazi huko iwe unskilled job au semi skilled job. Pia Ni namna gani mchakato wa kwenda huko unafanyika hapa bongo na gharama za nauli zikoje hadi huko...
National Program Officer – Economist
Full Time
Dar es Salaam
Embassy of Switzerland in Tanzania
As the official representation of Switzerland, the Embassy covers all matters concerning diplomatic relations between the two countries.
Embassy of Switzerland in Tanzania
Swiss Agency for...
Mwanariadha Emanuel Giniki Gisamoda ashika nafasi ya kwanza katika Mbio za Generali Geneve Marathon ( 2:10:39) huko Geneva Switzerland Jumapili 15 Mei 2022 katika kilomita 42, ambapo amewashinda wa Kenya na waethiopia.
Giniki ni Mwanariadha pekee anaefanya vizuri katika Riadha hapa nchini...
Droo ya robo fainali, nusu fainali na fainali ya msimu wa 2021/22 UEFA Champions League zote zitachezeshwa katika tukio moja.
Timu nane zilizobakia zitajua hatma yao kwa mashindano hayo makubwa kwa ngazi ya klabu barani ulaya huko Jijini Nyon, Uswizi (Switzerland)
''It is at this stage that...
Waziri wa Sheria wa Malawi amesafiri kwenda Geneva nchini Uswizi kuhudhuria Mkutano wa 46 wa Baraza la Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Mkutano uliofanyia kwa njia ya kidigitali, na kuhutubia ukumbi uliojaa viti bila kuwepo mtu yeyote!
Mitandao ya kijamii imemshambulia Titus Mvalo kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.