Maisha yetu na safari nzima ya maisha ni Project yetu.
Madamu ni project mhimu kila mmoja ajifanyie SWOT analysis yake, hii itamsaidia ajitambue, ajirekebishe, ajitathmini na aamue mambo mbalimbali kwa ufasaha ili hatimae afikie malengo.
SWOT yako yani:
Strength zako: tambua mazuri au nguvu...