symbion

Symbion is the name of a genus of commensal aquatic animals, less than 0.5 mm wide, found living attached to the mouthparts of cold-water lobsters. They have sac-like bodies, and three distinctly different forms in different parts of their two-stage life-cycle. They appear so different from other animals that they were assigned their own, new phylum Cycliophora shortly after they were discovered in 1995. This was the first new phylum of multicelled organism to be discovered since the Loricifera in 1983.

View More On Wikipedia.org
  1. much know

    Bwawa la umeme effect, Baada ya Symbion power sasa ni zamu ya SONGAS kufungashwa virago, Nimeelewa kwanini walikuwa hawalitaki bwawa lijengwe

    Upinzani watasema tutashitikiwa miga
  2. saidoo25

    Mwigulu na CAG nani amedanganya umma suala la malipo ya Bilioni 350 kwa Symbion?

    Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
  3. saidoo25

    Mwigulu Bungeni amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350

    Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge. Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi ngapi? Pascal Mayalla na wachambuzi wengine tusaidieni majibu na uelewa maana tumeambiwa watanzania...
  4. A

    DOKEZO Serikali iliilipa Symbion Power TZS 358,575,739,422 mwaka 2021/22 Mitambo yao ikawa mali ya Tanzania rasmi

    Wakuu, Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako? Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na Mahakama ikawa imeamuru mitambo yake ipigwe mnada. Na huenda ndio chanzo cha huo “unafuu wa umeme”...
  5. saidoo25

    Kamati ya Bunge PAC yapewa semina na Wizara ya Nishati baada ya azimio la Bunge kuhusu Symbion

    Siku moja baada ya Bunge kuazimia watumishi wa Wizara ya Nishati, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wizara ya Fedha na Mipango na TANESCO walioshiriki katika mchakato mzima wa uingiaji, utekelezaji na uvunjaji wa mkataba kati ya TANESCO na Symbion uliosababishia Serikali hasara ya Bilioni...
  6. saidoo25

    Mbunge Sillo ataka waliolipa Kampuni ya Symbion Bilioni 350 wawajibishwe haraka

    MBUNGE wa Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran ameliomba Bunge liazimie watu wote waliohusika na kashfa ya kuruhusu kufanyika malipo ya shilingi Bilioni 350 kwa Kampuni ya Symbion Power LLC wachukuliwe hatua za kisheria kwa kufanya ubadhirifu huo ili iwe fundisho kwa wengine. "Malipo...
  7. Suzy Elias

    Mpina: 05/2021 Symbion ililipwa bilioni 350 bila kutozwa kodi

    Mbunge Luhaga Mpina amehoji ni kwa nini kampuni ya Symbion ililipwa pesa zaidi ya bilioni Mia tatu bila kutozwa kodi ya Serikali? Amehoji pia ni kwa nini mkataba wa symbion uliokuwa unakoma 2015 ulihuishwa September 2015 bila kufuatwa taratibu na ajabu Serikali kwa uharaka ilikubali kuilipa...
  8. F

    Hili la Symbion kulipwa Tshs. Bilioni 356, January Makamba tunakutahadharisha mapema

    Mimi binafsi kama Fumadilu Kalimanzila toka ulipoteuliwa kuwa Waziri wa Nishati na ukaanza kuunda Bodi ya TANESCO na haraka sana hata kabla ya kutembelea miradi uliyokuta chini ya Wizara yako kama ule wa Nyerere Hydropower (Stiglers Gorge) ukakimbilia ubalozi wa Marekani kuanza kuomba misaada...
  9. Mpinzire

    Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

    Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5. Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na...
  10. Replica

    Rais Samia akiri kuwepo upungufu wa umeme, Makamba alisema ni 'scheduled maintainance'

    Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani. Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
  11. Pozzers

    Jambo lililomtesa Hayati Dkt. Magufuli ni mkataba wa Dowans na Symbion ambao Mzee Kikwete alisaini wakati wake

    Mkataba ile ulisainiwa kww vipengele vya kuifunga Tanesco isichomoke 1: Mkataba ulikuwa inaitaka Tanesco itumie umeme wa Dowans/Symbion kwa Miaka yote, 2: Mkataba ulikuwa umeandika Tanesco watumie au wasitumie Umeme wa Dowans / Symbion wanapaswa kumlipa kila siku ,Kila Mwezi, maisha yote. JPM...
  12. Mukulu wa Bakulu

    Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

    Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma. Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi. Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi...
  13. Mpinzire

    Kuna jitihada za kuinusuru SYMBION?

    𝙷𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚍𝚊𝚞! 𝙼𝚒𝚎𝚣𝚒 𝚔𝚊𝚍𝚑𝚊𝚊 𝚒𝚕𝚒𝚢𝚘𝚙𝚒𝚝𝚊 𝚠𝚊𝚠𝚊𝚔𝚒𝚕𝚒𝚜𝚑𝚒 𝚠𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚙𝚞𝚗𝚒 𝚢𝚊 𝚂𝙾𝙽𝙶𝙰𝚂 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚔𝚞𝚝𝚊𝚗𝚊 𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚖𝚊𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞𝚖𝚣𝚘 𝚗𝚊 𝙱𝚊𝚕𝚘𝚣𝚒 𝚠𝚊 𝚄𝚂𝙰 𝚗𝚌𝚑𝚒𝚗𝚒 𝚃𝙰𝙽𝚉𝙰𝙽𝙸𝙰 𝚑𝚞𝚔𝚞 𝚒𝚔𝚒𝚍𝚊𝚒𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚂𝙾𝙽𝙶𝙰𝚂 𝚖𝚔𝚊𝚝𝚊𝚋𝚊 𝚠𝚊𝚘 𝚠𝚊𝚔𝚞𝚒𝚞𝚣𝚒𝚊 𝚞𝚖𝚎𝚖𝚎 𝚃𝚊𝚗𝚎𝚜𝚌𝚘 𝚞𝚝𝚊𝚏𝚒𝚔𝚒𝚊 𝚖𝚠𝚒𝚜𝚑𝚘 𝚖𝚠𝚊𝚔𝚊 2024, 𝙼𝚍𝚊𝚞 𝚊𝚕𝚒𝚗𝚒𝚙𝚎𝚗𝚢𝚎𝚣𝚎𝚊 𝚑𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞𝚖𝚣𝚘 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚘𝚗𝚐𝚎𝚣𝚊 𝚖𝚔𝚊𝚝𝚊𝚋𝚊 𝚔𝚊𝚝𝚒...
  14. M

    Kwanini middleman wa Richmond, Dowans na Symbion hakamatwi?

    Ndugu zangu, miezi michache iliyopita, ndugu yangu ambaye ni mbunge alinipa taarifa kuwa kuna baadhi ya wabunge waliokuwa wameongwa pesa nyingi kuitetea Dowans na kusaidia kufanikisha uuzwaji wake. mmoja wapo ya wamiliki alikuwa akisafiri kwenda Dodoma na sanduku lililojaa pesa na kuwagawia...
Back
Top Bottom