Wakuu,
Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako?
Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na Mahakama ikawa imeamuru mitambo yake ipigwe mnada.
Na huenda ndio chanzo cha huo “unafuu wa umeme”...
Anonymous (6d14)
Thread
dowans
mitambo
symbionsymbionpower
tanzania
ufisadi
Wasalam, nakumbuka miaka ile 2005 iliibuka kambuni ya kufua umeme ya Richmond. Kambuni hii baadae ilikujagundulika kuwa ni kampuni hewa kitu kilichopelekea aliekua waziri mkuu wakati ule ndugu lowassa kujiuzuru uwaziri mkuu.
Baadae serikali hii ya ccm ilibadili jina la Richmond kuwa symbion...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.