symbion

Symbion is the name of a genus of commensal aquatic animals, less than 0.5 mm wide, found living attached to the mouthparts of cold-water lobsters. They have sac-like bodies, and three distinctly different forms in different parts of their two-stage life-cycle. They appear so different from other animals that they were assigned their own, new phylum Cycliophora shortly after they were discovered in 1995. This was the first new phylum of multicelled organism to be discovered since the Loricifera in 1983.

View More On Wikipedia.org
  1. Bwawa la umeme effect, Baada ya Symbion power sasa ni zamu ya SONGAS kufungashwa virago, Nimeelewa kwanini walikuwa hawalitaki bwawa lijengwe

    Upinzani watasema tutashitikiwa miga
  2. Mwigulu na CAG nani amedanganya umma suala la malipo ya Bilioni 350 kwa Symbion?

    Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
  3. Mwigulu Bungeni amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350

    Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge. Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi ngapi? Pascal Mayalla na wachambuzi wengine tusaidieni majibu na uelewa maana tumeambiwa watanzania...
  4. A

    DOKEZO Serikali iliilipa Symbion Power TZS 358,575,739,422 mwaka 2021/22 Mitambo yao ikawa mali ya Tanzania rasmi

    Wakuu, Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako? Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na Mahakama ikawa imeamuru mitambo yake ipigwe mnada. Na huenda ndio chanzo cha huo β€œunafuu wa umeme”...
  5. Kamati ya Bunge PAC yapewa semina na Wizara ya Nishati baada ya azimio la Bunge kuhusu Symbion

    Siku moja baada ya Bunge kuazimia watumishi wa Wizara ya Nishati, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wizara ya Fedha na Mipango na TANESCO walioshiriki katika mchakato mzima wa uingiaji, utekelezaji na uvunjaji wa mkataba kati ya TANESCO na Symbion uliosababishia Serikali hasara ya Bilioni...
  6. Mbunge Sillo ataka waliolipa Kampuni ya Symbion Bilioni 350 wawajibishwe haraka

    MBUNGE wa Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran ameliomba Bunge liazimie watu wote waliohusika na kashfa ya kuruhusu kufanyika malipo ya shilingi Bilioni 350 kwa Kampuni ya Symbion Power LLC wachukuliwe hatua za kisheria kwa kufanya ubadhirifu huo ili iwe fundisho kwa wengine. "Malipo...
  7. Mpina: 05/2021 Symbion ililipwa bilioni 350 bila kutozwa kodi

    Mbunge Luhaga Mpina amehoji ni kwa nini kampuni ya Symbion ililipwa pesa zaidi ya bilioni Mia tatu bila kutozwa kodi ya Serikali? Amehoji pia ni kwa nini mkataba wa symbion uliokuwa unakoma 2015 ulihuishwa September 2015 bila kufuatwa taratibu na ajabu Serikali kwa uharaka ilikubali kuilipa...
  8. F

    Hili la Symbion kulipwa Tshs. Bilioni 356, January Makamba tunakutahadharisha mapema

    Mimi binafsi kama Fumadilu Kalimanzila toka ulipoteuliwa kuwa Waziri wa Nishati na ukaanza kuunda Bodi ya TANESCO na haraka sana hata kabla ya kutembelea miradi uliyokuta chini ya Wizara yako kama ule wa Nyerere Hydropower (Stiglers Gorge) ukakimbilia ubalozi wa Marekani kuanza kuomba misaada...
  9. Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

    Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5. Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na...
  10. Rais Samia akiri kuwepo upungufu wa umeme, Makamba alisema ni 'scheduled maintainance'

    Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani. Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
  11. Jambo lililomtesa Hayati Dkt. Magufuli ni mkataba wa Dowans na Symbion ambao Mzee Kikwete alisaini wakati wake

    Mkataba ile ulisainiwa kww vipengele vya kuifunga Tanesco isichomoke 1: Mkataba ulikuwa inaitaka Tanesco itumie umeme wa Dowans/Symbion kwa Miaka yote, 2: Mkataba ulikuwa umeandika Tanesco watumie au wasitumie Umeme wa Dowans / Symbion wanapaswa kumlipa kila siku ,Kila Mwezi, maisha yote. JPM...
  12. Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

    Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma. Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi. Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi...
  13. Kuna jitihada za kuinusuru SYMBION?

    π™·πšŠπš‹πšŠπš›πš’πš—πš’ 𝚠𝚊𝚍𝚊𝚞! π™Όπš’πšŽπš£πš’ πš”πšŠπšπš‘πšŠπšŠ πš’πš•πš’πš’πš˜πš™πš’πšπšŠ πš πšŠπš πšŠπš”πš’πš•πš’πšœπš‘πš’ 𝚠𝚊 πš”πšŠπš–πš™πšžπš—πš’ 𝚒𝚊 πš‚π™Ύπ™½π™Άπ™°πš‚ πš πšŠπš•πš’πš”πšžπšπšŠπš—πšŠ πš—πšŠ πš”πšžπšπšŠπš—πš’πšŠ πš–πšŠπš£πšžπš—πšπšžπš–πš£πš˜ πš—πšŠ π™±πšŠπš•πš˜πš£πš’ 𝚠𝚊 πš„πš‚π™° πš—πšŒπš‘πš’πš—πš’ πšƒπ™°π™½πš‰π™°π™½π™Έπ™° πš‘πšžπš”πšž πš’πš”πš’πšπšŠπš’πš πšŠ πš”πšžπš πšŠ πš‚π™Ύπ™½π™Άπ™°πš‚ πš–πš”πšŠπšπšŠπš‹πšŠ 𝚠𝚊𝚘 πš πšŠπš”πšžπš’πšžπš£πš’πšŠ πšžπš–πšŽπš–πšŽ πšƒπšŠπš—πšŽπšœπšŒπš˜ πšžπšπšŠπšπš’πš”πš’πšŠ πš–πš πš’πšœπš‘πš˜ πš–πš πšŠπš”πšŠ 2024, π™ΌπšπšŠπšž πšŠπš•πš’πš—πš’πš™πšŽπš—πš’πšŽπš£πšŽπšŠ πš‘πšŠπš‹πšŠπš›πš’ πš”πšžπš πšŠ πš–πšŠπš£πšžπš—πšπšžπš–πš£πš˜ 𝚒𝚊 πš”πšžπš˜πš—πšπšŽπš£πšŠ πš–πš”πšŠπšπšŠπš‹πšŠ πš”πšŠπšπš’...
  14. M

    Kwanini middleman wa Richmond, Dowans na Symbion hakamatwi?

    Ndugu zangu, miezi michache iliyopita, ndugu yangu ambaye ni mbunge alinipa taarifa kuwa kuna baadhi ya wabunge waliokuwa wameongwa pesa nyingi kuitetea Dowans na kusaidia kufanikisha uuzwaji wake. mmoja wapo ya wamiliki alikuwa akisafiri kwenda Dodoma na sanduku lililojaa pesa na kuwagawia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…