Heshima kwema wakuu...
Leo, tunawaletea mfumo wa mauzo uliojaribiwa na kufanya vizuri sana kwa wateja wetu. Mfumo huu ni desktop application (Language iliyotumika ni c# na database ni SQLServer 2014).
Mfumo ni mwepesi sana kutumia na unatoa ripoti zote za muhimu.
Pia tunaongeza vitu...