Si hayo unayofikiri kuwa, bali ni mambo yaliokuwa ni hulka Kwa waja na kuwa ahadi yenye thamani kama Vito, iliyoaminika kuwa ni ndoto ya abunwasi kumbe hata Malkia mchwa anaweza kufanya ikiwa yeye ndio mfalme na sauti ya kuwatiisha waja
Ni viumbe wenye ushirika mkubwa sanaa ila balaa lao sio...