Habari wakuu,
Mimi nina oasso yangu inawaka taa ya OD pia inablink na gia zinaingia kwa tabu kwa kushituka, mafundi walibadil vvti sensor inaacha halafu inarudi vilevile, naomba alie wahi solve hilo tatizo anisaidie alisove vipi au kama kuna mafundi naomba msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.