Habari Wakuu,,
Kutokana na changamoto ya kukatikakatika umeme huku ninakoishi, Sasa nimeamua kununua solar(Umeme wa Jua).
Hivyo basi, kutokana na shughuli zangu huwa narudi nyakati za usiku home, kuanzia mida ya 1:30 - 2:00 usiku na familia yangu imeindoka kwa muda.
Nahitaji nipate kifaa...
Mwenye kujua ubora wa taa za solar kwa ajili ya security light nje nahitaji kujua brand zilizo bora, je, Watts ni kigezo cha bei?
Ni kweli unaweza kuwa na solar ya 2000Wats ikiwa combined na pannel? Kuna mahali nimeiona inauzwa Tsh. 150,000.
Naomba ushauri pia wa vitu gani kuzingatia kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.