Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.
Kwa hapa Tanzania kada ya sheria inadharaulika sana.
Mwanasheria anaonekana kama dalali tu.
Ila ajabu ni kwamba kwa wenzetu wanaofahamu umuhimu wa elimu wanawaheshimu sana wanasheria.
Marekani pekee kati ya marais 44 waliokuwa nao, 27 waliwahi kuwa wanasheria.
Taifa lenye uchumi mkubwa na...
Niende moja kwa moja kwenye pointi
Kumeibuka na wimbi la waaandishi wa habari uchwara kutokana na ongezeko kubwa la onlineTVs lakini ukiangalia utendaji kazi wao 98% wengi ni vilaza na hawana uelewa wowote kuhusu taaluma ya uandishi wa habari ila unaweza kusema unawaona onlineTVs ila...
Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo.
Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu...
Mkoa wa Kagera ni miongoni mwa mikoa michache hapa nchini iliyojijengea heshima kubwa katika utoaji wa elimu Bora na wataalamu wengi katika fani mbalimbali. Ndiyo maana hata Sasa hivi ukimuuliza mtanzania yeyote akutajie mikoa inayoongoza kuwa na wasomi wengi lazima Kagera ni mkoa mmojawapo...
Wewe ni kocha umesomea taaluma yako ya ukocha na ukapewa leseni ya ukocha unawezaje kupangiwa kikosi na kiongozi wa timu ambae hana uelewa wowote na taaluma ya coaching?!...
Ifikie hatua haya malalamiko ya makocha kupangiwa timu na viongozi yafike mwisho
Wewe ni kocha ukiona kiongozi...
Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4
Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo
Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee,
hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida...
1)JE? unajutia kwanini ulisomea taaluma ya kazi yako ya sasa??ulishawahi jilaumu kwa nini ulisomea kazi yako uliyonayo sasa wakati wakati una apply ulikuwa na uwanja mpana wa machagua ya fani mbalimbali tofauti?
2)Je? unahisi haukuwa na information za kutosha/ exposure
ya fani/ujuzi wa kazi...
Nimekuwa nikifuatilia mahojiano kadhaa yanayofanywa na viongozi mbalimbali wa taasisi za Serikali na Wana habari, ila kilichonisikitisha ni kuona mwanahabari anahoji swali ambalo hata uelewa wa hilo jambo hana kiasi kwamba swali likirudishwa kwake kwa ufafanuzi zaidi anabaki kumbwelambwela tu...
Changamoto inayowakumba wazazi wengi wanaotafuta elimu bora kwa watoto wao licha ya vipato vidogo.
Ndugu wanajamii, mimi ni mzazi naomba msaada wenu kupata shule bora na yenye gharama nafuu kwa mtoto wangu mwenye umri wa miaka 7 anayetarajia kuingia darasa la 4 mwakani lakini ninampango wa...
Tuko kwenye zama za kidijitali ambapo michezo ya video haipo tu kwa ajili ya kuburudisha. Zamani, ilikuwa kawaida kuona michezo ya video kama njia ya "kupoteza muda," lakini sasa, teknolojia imeleta mapinduzi makubwa – unaweza kujifunza stadi mpya kwa kucheza michezo!
Fikiria hili, wewe...
Kuwepo Kwa jambo kubwa ambalo ni zuri , ambalo unalimiliki wewe unakuwa na furaha sana na ikiwa jambo hilo anamiliki mtu mwingine basi wewe muda mwingine unakuwa na mawazo labda yule mwenye nalo anajiskia furaha sana, ningekuwa Mimi ningekuwa na furaha pia.
Lakini kuwa nalo jambo hilo au kuwepo...
1. Mgombea Urais namba 5 mwaka 2015 na Waziri Mwandalizi (Mstaafu) Mambo ya Nje, Makamba. Ana taaluma gani mbali na Ubunge alio nao?
2. Ikitokea 2025 Chama kisimpitishe kugombea, itakuaje? Atatumia taaluma ipi kuongeza kipato?
Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi...
Sipo hapa kudhibitisha hili..hili lipo wazi na lishadhibitika mara nyingi sana.
TLS ashawahi shinda Lissu
Jana kashinda Mwambukusi hawa wote waliwabwaga Machawa wa Ccm.
The same Madaktari washawahi itikisa hii Nchi hadi wakaanza wafanyia ukatili NB:Yule Daktar Ulimboka.
Hii Nchi taaluma moja...
TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI.
Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa na wazazi wao wote wawili hasa mama ambaye muda mwingi alikua nyumbani.
Na katika malezi haya...
Programming ni nini?
Programming ni kitendo cha kuandika maelezo au kuunda maelekezo au kuunda maelekezo kwa kutumia lugha flani ya kompyuta kwa ajili ya kufanikisha malengo flani
Mafanikio ya mtu anayefanya programming huwa ni kufanya development ya programu ya compyuta.
Unaweza ukajifunza...
Na Mwandishi wetu.
Wanahabari wenye weledi na wanaozingatia maslahi ya Taifa ni chachu ya kutimiza dhima ya kuleta mchango kwa taifa.
Haiba na taswira yenu nzuri huwa inaharibiwa na uandishi wa habari usiofuata maadili ya uandishi wa habari, kuandika habari ambazo hazijafanyiwa utafiti...
Wengi tumebahatia kusoma na tuliamua kuchagua kusoma masuala fulani ili yaje yatusaidie kwenye ajira. Kwako Mdau, wewe ulichosoma ndicho unakifanyia kazi kwasasa?
Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Kauli hiyo imetolewa leo Aprili, 23, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakati...
Habari wadau...
Kijana wangu amemaliza form four mwaka 2023 na ufaulu wake ni-
Civ-D
Hist-C
Geo-D
Kisw-C
Engl-D
Bio-C
B/math-F
Je? ni elimu ipi itamfaa Kwa upande wa FANI au TAALUMA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.