Habari Wana JF
Hope wote ni wazima, kwa upande wangu Mimi ni mzima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa miaka mingi sasa taaluma ya ualimu imekuwa ikichukuliwa kama taaluma dhaifu, taaluma hii imedharaurika kwa muda mrefu.
Maisha ya walimu ni duni sana, maslah ya walimu bado yapo...