Kwa hapa Tanzania kada ya sheria inadharaulika sana.
Mwanasheria anaonekana kama dalali tu.
Ila ajabu ni kwamba kwa wenzetu wanaofahamu umuhimu wa elimu wanawaheshimu sana wanasheria.
Marekani pekee kati ya marais 44 waliokuwa nao, 27 waliwahi kuwa wanasheria.
Taifa lenye uchumi mkubwa na...