taaluma

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Sheria taaluma inayodharaulika sana Tanzania lakini marais 27 kati ya 43 wa marekani waliwahi kuwa wanasheria

    Kwa hapa Tanzania kada ya sheria inadharaulika sana. Mwanasheria anaonekana kama dalali tu. Ila ajabu ni kwamba kwa wenzetu wanaofahamu umuhimu wa elimu wanawaheshimu sana wanasheria. Marekani pekee kati ya marais 44 waliokuwa nao, 27 waliwahi kuwa wanasheria. Taifa lenye uchumi mkubwa na...
  2. Serikali iingilie kati haraka, taaluma ya uandishi wa habari iwekewe udhibiti na waandishi wapewe leseni

    Niende moja kwa moja kwenye pointi Kumeibuka na wimbi la waaandishi wa habari uchwara kutokana na ongezeko kubwa la onlineTVs lakini ukiangalia utendaji kazi wao 98% wengi ni vilaza na hawana uelewa wowote kuhusu taaluma ya uandishi wa habari ila unaweza kusema unawaona onlineTVs ila...
  3. Umuhimu wa specialisation katika taaluma ya habari: Balile amhenyesha Tundu Lissu katika kikao na wahariri, ambana vilivyo katika masuala ya sheria

    Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo. Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu...
  4. S

    TAALUMA MKOA WA KAGERA INAPOROMOKA KWA KASI YA AJABU

    Mkoa wa Kagera ni miongoni mwa mikoa michache hapa nchini iliyojijengea heshima kubwa katika utoaji wa elimu Bora na wataalamu wengi katika fani mbalimbali. Ndiyo maana hata Sasa hivi ukimuuliza mtanzania yeyote akutajie mikoa inayoongoza kuwa na wasomi wengi lazima Kagera ni mkoa mmojawapo...
  5. Hivi hawa makocha wa ligi yetu ya NBC mnawaelewa kweli. Kwanini wanaendekeza njaa zao na kudhalilisha taaluma zao za ukocha?

    Wewe ni kocha umesomea taaluma yako ya ukocha na ukapewa leseni ya ukocha unawezaje kupangiwa kikosi na kiongozi wa timu ambae hana uelewa wowote na taaluma ya coaching?!... Ifikie hatua haya malalamiko ya makocha kupangiwa timu na viongozi yafike mwisho Wewe ni kocha ukiona kiongozi...
  6. W

    Physics - A, chemistry - B, Hesabu - A, aende kusomea chuo gani na taaluma ipi ya Engineering ?

    Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4 Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee, hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida...
  7. ***JE,UNAJUTIA TAALUMA/KAZI ULIYOISOMEA /KAZI UNAYOIFANYA, ?UNAFURAHIA NA KUJIVUNIA TAALUMA/ KAZI YAKO?***

    1)JE? unajutia kwanini ulisomea taaluma ya kazi yako ya sasa??ulishawahi jilaumu kwa nini ulisomea kazi yako uliyonayo sasa wakati wakati una apply ulikuwa na uwanja mpana wa machagua ya fani mbalimbali tofauti? 2)Je? unahisi haukuwa na information za kutosha/ exposure ya fani/ujuzi wa kazi...
  8. Ashakum si matusi, ila nachelea kusema kuwa taaluma ya habari imevamiwa na vilaza

    Nimekuwa nikifuatilia mahojiano kadhaa yanayofanywa na viongozi mbalimbali wa taasisi za Serikali na Wana habari, ila kilichonisikitisha ni kuona mwanahabari anahoji swali ambalo hata uelewa wa hilo jambo hana kiasi kwamba swali likirudishwa kwake kwa ufafanuzi zaidi anabaki kumbwelambwela tu...
  9. Ukiwa unachagua shule ya msingi kwa ajili ya Mtoto wako unazingatia vitu gani? Ukiachana na performance ya Taaluma?

    Changamoto inayowakumba wazazi wengi wanaotafuta elimu bora kwa watoto wao licha ya vipato vidogo. Ndugu wanajamii, mimi ni mzazi naomba msaada wenu kupata shule bora na yenye gharama nafuu kwa mtoto wangu mwenye umri wa miaka 7 anayetarajia kuingia darasa la 4 mwakani lakini ninampango wa...
  10. Kutoka Ndoto Kuweka Uhalisia: Jinsi Teknolojia Inavyosaidia Watu Kujifunza Stadi Mpya kwa Kucheza Michezo

    Tuko kwenye zama za kidijitali ambapo michezo ya video haipo tu kwa ajili ya kuburudisha. Zamani, ilikuwa kawaida kuona michezo ya video kama njia ya "kupoteza muda," lakini sasa, teknolojia imeleta mapinduzi makubwa – unaweza kujifunza stadi mpya kwa kucheza michezo! Fikiria hili, wewe...
  11. Information Technology [TEHAMA]ni Taaluma Pana

    Kuwepo Kwa jambo kubwa ambalo ni zuri , ambalo unalimiliki wewe unakuwa na furaha sana na ikiwa jambo hilo anamiliki mtu mwingine basi wewe muda mwingine unakuwa na mawazo labda yule mwenye nalo anajiskia furaha sana, ningekuwa Mimi ningekuwa na furaha pia. Lakini kuwa nalo jambo hilo au kuwepo...
  12. January Makamba nje ya siasa ana taaluma gani?

    1. Mgombea Urais namba 5 mwaka 2015 na Waziri Mwandalizi (Mstaafu) Mambo ya Nje, Makamba. Ana taaluma gani mbali na Ubunge alio nao? 2. Ikitokea 2025 Chama kisimpitishe kugombea, itakuaje? Atatumia taaluma ipi kuongeza kipato?
  13. Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

    Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi...
  14. Moja ya Taaluma ambayo inaendelea kuwaweka CCM Madarakani Ualimu Wangekua kama Madaktari na wanasheria CCM ingekua out zaman sana

    Sipo hapa kudhibitisha hili..hili lipo wazi na lishadhibitika mara nyingi sana. TLS ashawahi shinda Lissu Jana kashinda Mwambukusi hawa wote waliwabwaga Machawa wa Ccm. The same Madaktari washawahi itikisa hii Nchi hadi wakaanza wafanyia ukatili NB:Yule Daktar Ulimboka. Hii Nchi taaluma moja...
  15. SoC04 Tanzania mpya: Kuanzisha chuo maalumu kitakachotoa taaluma kwa dada wa kazi za nyumbani

    TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI. Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa na wazazi wao wote wawili hasa mama ambaye muda mwingi alikua nyumbani. Na katika malezi haya...
  16. Elewa kuhusu taaluma au ujuzi wa Programming

    Programming ni nini? Programming ni kitendo cha kuandika maelezo au kuunda maelekezo au kuunda maelekezo kwa kutumia lugha flani ya kompyuta kwa ajili ya kufanikisha malengo flani Mafanikio ya mtu anayefanya programming huwa ni kufanya development ya programu ya compyuta. Unaweza ukajifunza...
  17. M

    SoC04 Uandishi isiwe ‘mission’ Taaluma iheshimiwe

    Na Mwandishi wetu. Wanahabari wenye weledi na wanaozingatia maslahi ya Taifa ni chachu ya kutimiza dhima ya kuleta mchango kwa taifa. Haiba na taswira yenu nzuri huwa inaharibiwa na uandishi wa habari usiofuata maadili ya uandishi wa habari, kuandika habari ambazo hazijafanyiwa utafiti...
  18. Unafanya kazi inayoendana na Taaluma uliyosomea au ndiyo mambo yamekuwa mengi?

    Wengi tumebahatia kusoma na tuliamua kuchagua kusoma masuala fulani ili yaje yatusaidie kwenye ajira. Kwako Mdau, wewe ulichosoma ndicho unakifanyia kazi kwasasa?
  19. Mabalozi wa Nchi watakiwa kutumia taaluma, uzoefu kuharakisha mabadiliko ya kimfumo

    Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili, 23, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakati...
  20. I

    Kwa ufaulu huu asome nini?

    Habari wadau... Kijana wangu amemaliza form four mwaka 2023 na ufaulu wake ni- Civ-D Hist-C Geo-D Kisw-C Engl-D Bio-C B/math-F Je? ni elimu ipi itamfaa Kwa upande wa FANI au TAALUMA.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…