Ndugu yangu, kila mtu afanye kwa uwezo wa mkono wake unapofikia.
mbona wewe ukienda pub kuonja kidogo, unavutiaga watoto wazuri wa gharama ya juu, ushawahi kusikia DJ au bartender analalamika kuwa unapoteza pesa hapo 🤣🤣
Siku hizi hakuna cha inspiration za bibi titi mohamed.
Siku hizi unakutana na mwanamke mwenye mafanikio na alama katika taifa lakini njia ya kufika kwake ilikuwa kujipost uchi uchi mtandanoi, kuishi kwa scandal, kulamba pipi kijiti za wakubwa, kuhongwa na wanaume za watu then kupata connection...
Hadija Kopa amevikwa Cheo Cha Malikia wa mipasho. Lakini kiuhalisia ameshawahi kushindwa katika vita ya mipasho kubaki muziki wa taarab.
Tukitaka kutenda haki basi Malikia wa Mipasho anapaswa kua bibie.
Afua Suleiman.
Ukitoka kuelewa huyu Afua nenda sikiliza Wimbo wa Taarab unaoitwa Utalijua...
Mimi kama mtu mwenye talanta ya kuweza kuona vipaji vya watu ambapo wakati mwingine wenyewe hawavioni ninapenda kuutaarifu umma kuhusu kipaji kipya nilichokiona. Ndugu yetu Wakazi Wasira ambaye anatajwa kama mwanafamilia ya muziki wa Hiphop amekuwa akipoteza muda kurap wakati kipaji chake halisi...
Queen wa Mwanyamala asiyekwisha utamu mama Zuchu A.K.A Makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake, anatafuta mwenza ila awe mtu mzima. Sasa ameamua kutulia.
USSR
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.