Habarin wa JF natumaini mko powah kabisa
Huyu fundi simu amenishangaza sana mpaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wahanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa yangu fundi simu wa hapa town maeneo flani hivi sasa huwa nakuja hapa mara kwa mara kupiga story na mambo...