taarifa potoshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi watu walivyongo'oa minazi wakiamini kuwa ni chanzo cha mabusha. Wewe umewahi kushuhudia madhara gani ya taarifa potoshi?

    Umewahi kushuhudia madhara gani yaliyotokana na Taarifa Potofu? Kisa cha Watu waliong’oa minazi wakiogopa kupata mabusha. Mdau wa JamiiCheck kupitia ukurasa wa Instagram anaeleza kuwa kutokana na taarifa kuwa maji ya madafu yanasababisha mabusha, watu wa kijijini kwao waliogopa kutumia nazi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi Uzushi wa WhatsApp Ulivyosababisha Mauaji nchini India

    Tukio lilivyoanza. Julai 13, 2018 Marafiki watano walisafiri kwenda kijiji cha Handikera katika jimbo la Karnataka, India, kwa ajili ya matembezi ya mapumziko (picnic). Wanaume walifahamika kwa majina alham al-Kubassi, Mohammed Salman, Mohammed Azam, Mohammed Afroz and Noor Mohammad Wakiwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwamba alivyofanya uamuzi uliompelekea kukamatwa na kushtakiwa, kwa sababu ya uvumi mtandaoni

    Mwamba mmoja aliyejulikana kwa jina Edgar Maddison Welch mwenye umri wa miaka 28 alikamatwa mnamo huko Marekani kwa madai ya kuingia katika mkahawa mmoja wa pizza mjini Washington, D.C., akiwa na bunduki ya mashambulizi, akidai kuwa alitaka kuchunguza madai kwamba mkahawa huo ulikuwa ukiendesha...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mada: Je, mchakato wa kuhakiki taarifa kwenye vyombo vya habari unaendana na kasi ya kuenea kwa taarifa potoshi?

    Wakuu, Dunia ya sasa ipo kiganjani mwako, lakini je, kila unachokisoma au kusikia ni cha kweli? Shiriki nasi katika Mjadala wa "Mchakato wa Kuhakiki Taarifa Kwenye Vyombo vya Habari, Unaendana na Kasi ya Kuenea kwa Taarifa Potoshi" kupitia Instagram Live ya JamiiForums. Mjadala huu...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 JamiiCheck ilivyoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Taarifa sahihi huwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi

    Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
  6. JamiiForums Tanzania Taarifa Potoshi ni chanzo cha maamuzi mabovu. Je, ni upi wajibu wa vyombo vya habari katika kuwezesha upatikanaji wa taarifa sahihi?

    Vyombo vya habari vina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi na kwa wakati ili kuchochea maamuzi sahihi sambamba na uwajibikaji. Wajibu huo unaweza kufanikishwa kwa kupambana na kuzuia taarifa potoshi zinazosambazwa ndani na nje ya mtandao. Salome Kitomari mhariri wa gazeti la...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu! Vipi ili tangazo la Salimu Kikeke na Zitto Kabwe

    Hii ni sehemu sahihi ya kuwekeza, au ni upigaji mpya. ================= Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu (Key word search) umejiridhisha kuwa video hiyo imepotoshwa kutoka kwenye video halisi ambayo ni sehemu ya matangazo mbashara ya kipindi cha...
  8. JamiiForums Tanzania Je, wajua Akili Mnemba inaweza kutengeneza mazungumzo ya Ujumbe mfupi na kupotosha Uhalisia?

    Umewahi kukutana na mazungumzo mtandaoni yaliyo katika ujumbe mfupi yakihusisha watu maarufu au viongozi wa kisiasa mathalani kutoka makundi sogozi ya Whatsapp? Je, umewahi kujiuliza kuhusu Uhalisia wake? Usiwe mwepesi wa kuamini maudhui kama hayo kwani teknolojia ya Akili Mnemba inaweza...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa zetu ziwe na mipaka yake, mwanasiasa anapotamka jambo la uongo, sheria ichukue mkondo wake!

    Naomba na kuipigia magoti serekali yetu juu ya wanasiasa kutamka mambo ya uongo hadharani yenye nia ya kudanganya umma basi sheria kali zichukuwe mkondo wake mara moja Bila huruma yoyote, Nimesikitishwa sana na matamshi ya HECHE, kuusiana na uwanja wa ndege wa kilimanjaro ya kuwa umechukuliwa...
  10. JamiiForums Tanzania Epuka kusambaza Taarifa potoshi kipindi hiki cha uchaguzi, thibitisha mara kwa mara

    Katika kipindi cha uchaguzi Taarifa za uzushi hutengenezwa kwa kiwango kikubwa na kusambazwa kwa njia mbalimbali ikiwemo kupitia mitandao ya kijamii. Taarifa hizo zinaweza kuhususisha sauti, video, picha na maandishi mbalimbali huku ikidaiwa kuwa imetolewa na mwanasiasa fulani ama zinamuhusu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupiga kura kutokana na taarifa ambayo baadaye ulikuja kugundua ni uongo?

    Wakati nyakati za Uchaguzi zinapokaribia ukiwemo wa Serikali za Mitaa 2024, ni rahisi kwa Mwananchi asiye na Taarifa Sahihi kufanya maamuzi yasiyo sahihi wakati akijiandaa na Michakato hiyo hadi Kupiga Kura. Maamuzi yoyote Sahihi kwa Mpiga Kura huchangiwa zaidi na Taarifa Sahihi alizonazo kabla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…