Uthibitishaji wa Taarifa ni jukumu la kila mmoja katika jamii ili kupambana na madhara ya Upotoshaji kwa kuhakikisha jamii inapata Taarifa Sahihi na kwa wakati.
Unaweza kupata maarifa zaidi kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ili kujua mbinu muhimu zinazokuwezesha kubaini uhalisia wa Taarifa...
Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
JamiiForums imeendesha mafunzo ya siku 2 kwa watumishi na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), yakijikita katika Ushirikishwaji wa Umma, Mbinu za Upigaji Picha, Mawasiliano Salama, na Usalama wa Kidigitali.
Mafunzo haya yalilenga kuwapa washiriki ujuzi muhimu wa...
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, unaleta nafasi muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika ngazi za karibu zaidi na maisha yao ya kila siku. Uchaguzi huu unahusisha uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vitongoji, vijiji, na wajumbe ambao...
Katika Katiba ya Kenya, suala la kujiuzulu linahusiana na uwajibikaji wa kisiasa na utawala. Iwapo kiongozi wa idara fulani au afisa wa serikali anashindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo, anaweza kushinikizwa kujiuzulu. Hata hivyo, Katiba haitaji moja kwa moja ni nani anayepaswa kujiuzulu...
Uchaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi wanaowaongoza. Hata hivyo, ili kufanya maamuzi ya busara na yenye tija, ni lazima wananchi wapate taarifa sahihi kuhusu vyama vya siasa na wagombea wao.
Taarifa sahihi hapa inamaanisha habari...
Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga.
Mimi ni kijana nahitaji kwenda kuanzisha maisha mji wa Mafinga. Nina ujuzi wa ICT, kilimo cha mboga mboga n.k, mtaji ni milion 6.
1. Historia yake.
2. Makabila yake, mila na desturi.
3. Huduma za kijamii.
4. Uchumi kwa ujumla.
Mtakumbuka mwaka 2018,April niliweka hapa jukwaani mada isemayo Anatafutwa Mzee Michael JUma Mkazi wa Mtwara na Masasi.
Kiufupi kwa wale ambao hawakupitia uzi huu mda ule Ni kuwa huyu Michael Juma alikuwa Ni Askari magereza katika gereza la musoma miaka ya 80S.Alikwa na Mke anaitwa Mama...
Kuna yule binti Mtanzania aliyekuwa mshauri wa rais wa Zambia katika mahusiano ya umma, alisema kwamba, alipofika Zambia alikuta hali ni mbaya sana kuhusu usambazaji wa taarifa kati ya serikali na wananchi kwa sababu serikali ilikuwa haiwapi taarifa wananchi kwa wakati, hali iliyopelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.