Weekend ndio hivyo imeshafika wandugu wa jukwaa hili habari zenu nyote.
kama tittle inavyosema umeshawahi kukutana na situation gani ukasema hii ni HABARI NJEMA YA KUSIKITISHA .
Miaka flani muda kidogo nilishawahi kuwa na mpenzi ambaye akapata mimba japo sikuihitajia kwa kipindi kile...