Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Hawa Mwangu (31), kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini Sh200,000 baada ya kukutwa na hatia ya kutoa taarifa za uongo katika ofisi ya Uhamiaji kwa lengo la kupata hati ya kusafiria kwenda Dubai kufanya kazi za ndani.
Mahakama hiyo pia, imetoa...