Habari wana jukwaa,
Naomba kutoa pongezi nyingi kwa Serikali kuturahisishia huduma kiganjani kupitia mfumo wa ESS kwa watumishi wa umma
Kero yangu ni kuwa katika kipengele cha e-mkopo taasisi nyingine binafsi hazijaweka namba ya makato nazungumzia taasisi kama ABC, Maboto, tunakopesha nk...