Huu ni uchonganishi wa wazi kabisa kati ya serikali ya CCM na wapigakura wake. Kama mmeona kuna umuhimu wa watu kupata vipimo basi fanyeni kwa wananchi wote. Ina maana mtu kama Giggy Money ana umuhimu kuliko wakulima wa korosho? Huu ujinga ndo unafanya wapinzani wapate kura za huruma. Hao...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza huduma ya kuwapima moyo na kuwapa matibabu bure Wasanii wa Tanzania ili kuwasaidia kuokoa maisha yao.
Akiongea leo December 13,2024 Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema wametoa huduma hiyo kwa...
Watoto 30 kati 50 waliofanyiwa uchunguzi katika kambi ya siku 10 iliyofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wamefanyiwa upasuaji wa moyo.
Akizungumza wakati wa kufunga kambi hiyo kwenye makao ya taasisi hiyo, kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI,Dk Tatizo Waane amesema...
Huduma za afya kwa hospitali za Umma mara nyingi zimekuwa zikilalamikiwa na jamii kuanzia matibabu mpaka lugha kwa wagonjwa, lakini utofauti mkubwa umeonekana Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.
Pongezi nyingi kwa Mkurugenzi na Madaktari wote bila kusahau dawati la huduma kwa wateja (Customer...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) inaendesha kambi maalumu ya siku tano ambayo inaokoa zaidi ya Bilioni moja kwa Watoto 40 ambao wangetakiwa kulipia matibabu ya upasuaji wa mshipa ya moyo kwa kupasua kifua pamoja na tundu dogo.
Akizungumzia Kambi hiyo ambayo imewakutanisha wataalamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.