Watoto 30 kati 50 waliofanyiwa uchunguzi katika kambi ya siku 10 iliyofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wamefanyiwa upasuaji wa moyo.
Akizungumza wakati wa kufunga kambi hiyo kwenye makao ya taasisi hiyo, kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI,Dk Tatizo Waane amesema...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) inaendesha kambi maalumu ya siku tano ambayo inaokoa zaidi ya Bilioni moja kwa Watoto 40 ambao wangetakiwa kulipia matibabu ya upasuaji wa mshipa ya moyo kwa kupasua kifua pamoja na tundu dogo.
Akizungumzia Kambi hiyo ambayo imewakutanisha wataalamu...
Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka Shirika la Mending Kids la nchini Marekani wakimfanyia mtoto upasuaji wa kuziba tundu lililopo kwenye moyo wakati wa kambi maalumu ya siku tano iliyoanza...