Habari wakuu,
Naomba kuuliza, hivi inawezekana kuhama kutoka taasisi ya umma kwenda Halmashauri? If no, why? If yes mchakato wake ukoje?
Naomba kuwasilisha.
Ahsante
Viongozi wengi wa kiafrika tunapenda sana kubeba ndugu na kuwaketisha viti vya mbele.
Mambo ya ukabila,udugu Ili kuzungukwa na watu mnaojuana ni kukosa weledi na kuleta mgongano wa kimaslahi.
Ziko namna nyingi za kuwabeba ndugu,sio kwaajiri katika Utumishi wa Umma,kama mnafanya Biashara au...
Haki ya kupata Taarifa iliandikwa kwa mara ya kwanza kwenye Katiba ya Sweden Mwaka 1766. Baadaye ikaletwa Sheria ya Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa lengo la kuondoa zuio la Kisiasa la kupata nyaraka za Umma
Tangu wakati huo, Nchi nyingi zilifuata mfano huo, na mpaka sasa Haki hii inalindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.