Hatupigi hatua kama taifa kiutendaji kwa kuteuana kimzunguko wa sura,majina,makundi,uchawa nk
Nafasi zingine twende kwa watumishi wa mashirika ya dini nao wateuliwe wakalisimamie taifa.
Kuna watawa ni wataaluma wazuri tu katika fani mbalimbali,mbona wanawajibika mashuleni,mahospitalini,mifumo...