ANTHONY MAVUNDE, WAZIRI WA MADINI, TANZANIA
Mwaka jana mwezi Septemba, nilifanya kikao na Taasisi za Fedha na Benki zote nchini chini ya mwamvuli wa Taasisi ya Umoja wa Benki nchini (TBA).
Madhumuni ya kikao kile ilikuwa ni kujadiliana kwa pamoja namna nzuri ya kuifikia sekta ya madini kwa...
JUHUDI ZA SERIKALI ZAWEZESHA WACHIMBAJI WADOGO KUAMINIKA NA TAASISI ZA FEDHA
● Kiasi cha Shilingi Bilioni 10 zakopeshwa kwa wachimbaji wadogo kutoka CRDB
● Ni mkopo wa Mtaji,manunuzi ya mitambo na utoaji huduma migodini
- Waziri Mavunde aipongeza Benki ya CRDB kwa kuinua sekta ya madini
-...
Biashara ya kutoa mikopo ni biashara kama biashara nyingine. Unavyouza mikopo Zaidi ndivyo unavyopata faida Zaidi.
Kwa nchi zilizoendelea kama Marekani, mataifa ya Ulaya, Japan, na hata China, hizi ni nchi ambazo zimefanikiwa kuwa na efficiency kubwa sana kwenye mabenki, na pia benki kuu katika...
Ukweli ni kwamba, kwa miaka mingi mishahara serikalini imekuwa duni na bahati mbaya zaidi, uwezo wa serikali kuongeza mishahara sasa unaonekana kushuka na bila shaka sababu kubwa ni serikali kuwa na miradi mikubwa na ya gharama pasipo kuwa na vyanzo vya uhakika (hawakujipanga).
Hivyo, kutokana...
Salaam aleikum!
Nitumie fursa hii kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya. Nikiri kwamba Wizara ya Kilimo imekuwa na mawaziri wengi, lakini wewe, umekuwa tofauti kwa uchapakazi wako. Maono na mipango ya Wizara unayosimamia unawagusa wakulima wa ngazi zote hususan wa ngazi ya chini na kati...
Rais wetu anakubalika sana kimataifa na ameweza kutufungua kimataifa. Ni rais pekee, executive president, mwanamke barani Afrika na wengi wako tayari kumsaidia ili kuonesha ulimwengu hasa wa Afrika kwamba wanawake wanaweza, tena sana tu kuliko wanaume wengi.
Wengi wanapenda kuona rais wetu...
Salam ndugu wana JF!
Moja kwa moja kwenye maada, ndugu zangu kwa muda mrefu kumekuwapo na wito na maagizo mengi ya serikali kuzitaka taasisi za fedha kushusha riba wanazotoza katika mikopo wanayotoa kwa wanananchi.
Kila linapojitokeza tukio linalomkutanisha ama Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika ambazo Uchumi unakua kwa kasi. Pia, imekuwa na utulivu wa Mfumuko wa Bei na Thamani ya Fedha.
Ameeleza, "Tumeona viashiria vya Maendeleo kwenye Maendeleo ya mtu. Tumeweza kupunguza kiwango cha umasikini...
Bado inaonekana kuna hela za kitanzania zimefichwa nje ya mfumo wa mabenki. Hiv serikali haiwezi kuamua kuprinti aina mpya noti za 10,000/= na 5,000/= ili ilazimishe watu kwenda benki kubadili kwa sharti la watu kuwa na account hasa kwa wenye kubadili kiwango flani cha fedha.
Kumekuwa na taratibu za taasisi zinazotoa mikopo kuwapa wakopaji control number ya kufanyia marejesho.
Kutokana na makato yalivyopandishwa ni vyena sasa mkatoa akaunti zetu ili mkopaji akalipie bank moja kwa moja ili kumpunguzia gharama na mzigo mzito wa makato.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.