Wakuu habari yenu.
Naamini wapo wajuzi na maafisa tofauti wenye uelewa wa haya mambo naomba kutambua mikopo kwa wakulima itolewayo pamoja na vigezo na masharti yake.
Hapa nitaomba kujua dhamana na riba yake pamoja na marejesho.
Nawasilisha kwenu
Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu.
Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga. Nimepata maswali mengi sana, je wamepewa ili wauze ama ziwasaidie katika biashara zao?. Na kama ni...
Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k.
Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo kulipa,(wa muda mrefu na mfupi)
Mfano nahitaji gari lenye thamani ya 15, talipataje na talipa jumla...
BUNGENI: Mbunge Joseph Kasheku Musukuma amesema Machinga anaposumbuliwa na kuharibiwa Biashara, Taasisi za Kifedha nazo zinaharibiwa.
Amesema, "Kuna watu wako pale wana mikopo, wamekopeshwa wana marejesho. Tuna shida gani tukisema magari yasiingie Kariakoo ili iwe kitovu cha Biashara? Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.