taasisi za kifedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wajibu wa mdhamini katika dhamana ya hatimiliki ya ardhi katika Taasisi za kifedha

    https://youtu.be/9zjBfqx1E9E?si=tRVVlcDNCgoNkbdJ Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi, Na Nyumba la Wilaya Dodoma, Mhe. Omary Mbega, kupitia ABM FM radio 91.2 Akielezea Wajibu wa mdhamini katika dhamana ya hatimiliki ya ardhi katika taasisi za kifedha.
  2. JamiiForums Tanzania DC Ludigija: Mikataba ya kifedha ya Taasisi za Kifedha iwekwe wazi kwa faida ya Wakopaji

    Serikali imezitaka Taasisi za Fedha zilizosajiliwa kutoa huduma ya mikopo, kuto wakandamiza wananchi katika mikataba kwa sababu ya kutojua kusoma na kuandika kwa kuwasainisha mikataba bila uelewa wao. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujua mikopo ya wakulima kutoka kwenye taasisi za kifedha. Dhamana na riba zake

    Wakuu habari yenu. Naamini wapo wajuzi na maafisa tofauti wenye uelewa wa haya mambo naomba kutambua mikopo kwa wakulima itolewayo pamoja na vigezo na masharti yake. Hapa nitaomba kujua dhamana na riba yake pamoja na marejesho. Nawasilisha kwenu
  4. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa NMB ni dalili ya taasisi za kifedha kukosa ufanisi katika utendaji.

    Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu. Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga. Nimepata maswali mengi sana, je wamepewa ili wauze ama ziwasaidie katika biashara zao?. Na kama ni...
  5. JamiiForums Tanzania Tupeni ushuhuda kwa mliowahi kukopo kwenye taasisi za kifedha zinazofuata utaratibu wa Sharia za Kiislam. Utaratibu upoje

    Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k. Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo kulipa,(wa muda mrefu na mfupi) Mfano nahitaji gari lenye thamani ya 15, talipataje na talipa jumla...
  6. JamiiForums Tanzania Musukuma ataka machinga wasibugudhiwe. Asema Serikali imechuma Bilioni 43 kwenye Vitambulisho

    BUNGENI: Mbunge Joseph Kasheku Musukuma amesema Machinga anaposumbuliwa na kuharibiwa Biashara, Taasisi za Kifedha nazo zinaharibiwa. Amesema, "Kuna watu wako pale wana mikopo, wamekopeshwa wana marejesho. Tuna shida gani tukisema magari yasiingie Kariakoo ili iwe kitovu cha Biashara? Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…