taasisi za umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Simbachawene aonya Wakuu wa Taasisi za Umma: Aliyekwambia unafaa nani?, Cheo ulipata kwa chapuo, tukikuchunguza unakuta ndio wezi na wapigaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, ameonya vikali wakuu wa taasisi za umma dhidi ya upendeleo na mianya ya rushwa katika teuzi zao. Akizungumza leo jijini Dodoma, Simbachawene alieleza kuwa baadhi ya viongozi wanawateua watu kwa...
  2. Waziri Simbachawene: Familia nyingi zinakufa kwasababu wenza kukaa mbali, Wakuu wa Taasisi za UMMA kushughulikia vibali vya uhamisho kwa busara

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Boniface Simbachawene akizungumza na Wakuu wa Taasisi za UMMA kushughulikia vibali vya uhamisho ili kuokoa familia nyingi za Watumishi.
  3. TAASISI ZA UMMA ZENYE MASLAHI

    Habari za wakuu, Naomba niende kwenye mada moja kwa moja tunafahamu kwamba taasisi hizi zipo vizuri kwenye maslahi je ni wapi kuna maslahi zaidi ikiwa mtumishi anataka kuhamia huko. TBS, NSSF, TMDA, EWURA, MSD, WCF, TPDC, TIRA Maslahi zaidi ya posho na safari kidogo. Naomba msinishambulie kwa...
  4. Ofisi ya Rais, Utumishi imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu

    OFISI ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu kadiri ya maelekezo yaliyotoka kwenye Tume ya Utumishi wa Umma. Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Deus Sangu ametoa agizo hilo...
  5. Leo Desemba 31, 2024 ni mwisho kwa Taasisi za Umma zinazohudumia zaidi ya Watu 100 kutumia Mkaa na Kuni Tanzania

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi ya...
  6. Waziri Mkuu Majaliwa: Disemba 31, 2024 siku ya mwisho kwa matumizi ya Mkaa na Kuni Taasisi za Umma

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi...
  7. S

    Serikali ichukue hatua kwa wakuu wa idara na taasisi za umma waliokacha sherehe za Uhuru kiwilaya, hao ndio wapinzani ndani ya serikali

    Mhe Waziri Mkuu, juzi nilikusikia ukisema maadhimisho ya sherehe za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara zitaadhimishwa ngazi ya mkoa na Wilaya. Hata hivyo leo nimemsikia mkuu wa Wilaya ya Moshi akilalamika kuwa wakuu wa idara na taasisi za umma hawakushiriki kwenye mdahalo wa uhuru huko Moshi...
  8. Dodoma: TRA yatoa elimu ya Kodi ya zuio Kwa taasisi za Umma

    Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa semina kuhusu kodi ya zuio kwa Taasisi za Umma leo tarehe 5/12/2024 Dodoma. Semina hiyo iliongozwa na Naibu Kamishna wa Huduma za Kiufundi kutoka idara ya Walipakodi Wakubwa (DCTS) Bw. Gabriel Kimweri.
  9. Kamati ya kudumu ya bunge ya uwezeshaji taasisi za umma yaridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

    KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili fedha hizo zitekeleze miradi mingine ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam Leo na...
  10. M

    Madaraka ya wenyeviti wa bodi kwenye mashirika/taasisi za umma

    Habarini wakuu, Naomba kufahamu kuhusu madaraka ya wenyeviti wa bodi kwenye mashirika/taasisi za umma hasa kwenye ajira. Je, mwenyekiti wa bodi anayo mamlaka ya kuajiri au kufanya recommendation ili mtu aajiriwe kwenye taasisi yake bila tangazo la ajira? Kuna ubishani tu kijiweni kwetu...
  11. Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini

    https://www.youtube.com/live/SlT8QJSt7_o Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ufunguzi wa kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), leo tarehe 28 Agosti, 2024. Rais Samia...
  12. Balozi Dkt. Kusiluka: Wizara na Taasisi za Umma wekeni program za mazoezi ya watumishi

    Dodoma Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeshiriki uzinduzi wa michuano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) ambapo taasisi hizo zimehimizwa kuandaa programu za mazoezi na michezo kuanzia sasa. Ili kufanikisha azma hiyo, Katibu Mkuu Kiongozi...
  13. “Njoo Kesho” kwenye Taasisi za umma ni Kidonda Ndugu

    Ifike mahali hiki kitu kikomeshwe mara moja. Baadhi ya watumishi kwenye Taasisi za umma ni kero na hawana adabu hata kidogo. Kuna baadhi ya Taasisi za umma ziko maeneo ya Mkoani au mjini kabisa mtu anatoka zake madongo kuinama anatumia nauli kubwa anafika hapo ili ahudumiwe lakini cha achabu...
  14. Maonesho ya Kimataifa ya Biashara: Taasisi za Umma Dhidi ya Maboresho

    Napongeza kwa jitihada zinazofanyika ktk kuandaa maonyesho ya kimataifa ya biashara na kuazimishwa kila mwaka. Kwa kuwa ni maonyesho makubwa ya kibiashara na yamekuwa yakihusisha makampuni na taasisi za kibiashara toka ktk mataifa mbalimbali nina dhani kuna haja ya kutathmini athari zake Chanya...
  15. MABEYO (CDF MSTAAFU): Vijana wanakosa mwelekeo, tunajenga hofu kwa taifa la kesho (Juni 11, 2024)

    https://www.youtube.com/live/N5UQz7YOdMQ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam, leo tarehe 11/06/2024. MABEYO (CDF MSTAAFU): Vijana wanakosa mwelekeo, tunajenga hofu kwa taifa la...
  16. L

    Rais Samia kupokea Gawio na Michango kutoka Mashirika na Taasisi za Umma, Matukio kurushwa live kupitia vyombo vyote vya habari

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana...
  17. H

    SoC04 Katika miaka mitano ijayo nakuendelea Taasisi za umma ziboreshe vitengo vya huduma kwa wateja

    Vitengo vya huduma kwa wateja katika mashirika, taasisi za umaa na kwenye serekali za mitaa vinapaswa kuboreshwa katika miaka mitano ijayo nakuendelea kwa sababu ndivyo vinabeba dhima ya utaoji wa huduma kwa wananchi Kwani kwenye baadhi ya taasisi za umaa Zimekuwa zikiacha kuweka mkazo kwenye...
  18. Video: Huduma kwa wateja Taasisi za Umma mbovu. Nimepiga simu Nest (PPRA) nusu saa hakuna anayepokea. Siasa zisiue huduma kwa jamii

  19. A

    KERO Taasisi za Umma zinatangaza mashindano/kazi ya ubunifu wa nembo zao mpya kwa wabunifu halafu wanapotelea mitini na hawabadili

    Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata, lakini mpaka leo 2024 hawajabadilisha. Taasisi nyingine ni TPDC na TARURA
  20. Matumizi ya Serikali Kwenye Magari ya Taasisi za Umma ni ufujaji, Wafanye Hivi

    Bajeti ya magari ya serikali kila mwaka Bilioni 600, Hii pesa haimaanishi kuwa inanunua magari pekee na pesa ikaisha. Hivyo kwanini Serikali iwe na utaratibu mzuri Kila Taasisi Ijinunulie Magari yake kutoka kwenye Mishahara Ya wafanya Kazi, tuone kama watanunua V8 na VX kama wanavyofanya sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…