taazia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taazia: Abdulrahman "Italo" Msham

    Abdul Italo amefariki na kazikwa leo Makaburi ya Mwinyimkuu. Upi umuhimu wa Abdul Italo? Angalia video: TAAZIA ILIYOCHELEWA: DR. EDITH KITAMBI Nimesoma kuhusu kifo cha Dr. Edith Kitambi leo keshafariki muda mrefu na watu wameandika kama kumbukumbu. Kwangu mimi ikawa ni msiba mpya na machungu...
  2. Taazia: Dkt. Tamim Kutoka Kalamu ya Dkt. Dau

    TAAZIA: DR. TAMIM KUTOKA KALAMU YA DR. DAU GAZETI LA RAIA MWEMA Tarehe 17 Mei 2024 Saa 1 asubuhi nimepokea simu kutoka kwa mwanangu Ahmed Dau. Wakati huo nilikuwa nipo safarini nchini Uturuki kuhudhuria Kongamano la 3 la Kimataifa kuhusu Halal Tourism ambapo niliombwa kuwasilisha mada kuhusu...
  3. Taazia: Dr. Tamim Bushiri

    DR. TAMIM DAKTARI AMBAE HAKUGOMA MADAKTARI WALIPOGOMA Nimempiga Dr. Tamim picha nyingi na zote ninazo zipo Maktaba. Kila picha niliyompiga nilijitahidi kumpelekea nakala. Tabu iliyonifika ni picha ipi nichague itakayomueleza na kumuonyesha yule ambae hakupata kumfahamu Dr. Tamim katika uhai...
  4. Taazia: Sheikh Ali Hassan Mwinyi (1925 - 2024)

    TAAZIA Leo usiku saa tatu In Shaa Allah nitakuwa TV Africa Channel 2 Mubashara Kipindi Maalum cha Rais Mwinyi. Wako King'amuzi cha AZAM Ingia Others. Picha hapo chini Ukumbi wa Korea nikimkabidhi Mzee Mwinyi nakala mbili za kitabu cha Abdul Sykes (Kiingereza na Kiswahili) 2014.
  5. Taazia: Yusuf Salum Maleta nahodha wa Sunderland

    TAAZIA: NINAVYOMKUMBUKA YUSUF SALUM MALETA 1960s Yusuf Salum Maleta ni kaka yangu. Mwaka ni 1963 nimekuja kutoka Moshi nilipokuwa nasoma na nimefikia nyumbani kwa mmoja wa baba zangu Mzee Abdallah Mtaa wa Gogo No. 6. Mtaa wa Gogo ni katika mitaa mifupi sana ya Dar-es-Salaam. Mtaa wa Gogo...
  6. Taazia: Ninavyomkumbuka Dada Yangu Haki Hanya (Haki Kilomoni)

    TAAZIA: NINAVYOMKUMBUKA DADA YANGU HAKI HANYA (MRS. HAKI KILOMONI) Haki mimi ni dada yangu. Napata akili namuona Haki na marehemu dada yangu Mengi mashoga, wote wanasoma chuo cha Shariff Abdulrahman Mtaa wa Sukuma na Mafia. Hii ni katikati 1950s tunaishi Mtaa wa Kiungani na Sikukuu. Siku...
  7. TANZIA Chaki (Jaffar Kasmali) mchezaji wa Cosmopolitan na timu ya taifa amefariki leo New York

    CHAKI (JAFFAR KASMALI) MCHEZAJI WA COSMOPOLITAN NA TIMU YA TAIFA AMEFARIKI LEO NEW YORK Chaki alikuwa golikipa hodari wa Cosmo katika miaka ya 1960 wakati huo wachezaji wenzake ninaowakumbuka walikuwa Msuba, Mansur Magram, Mustafa Mabuge, Emil Kondo, Kitwana Popat (Kitwana Manara) ni miaka...
  8. Taazia: Buriani Mja wa Kheri Sheikh Salim bin Ahmed Bajaber

    TAAZIA: MJA WA KHERI SHEIKH SALIM BIN AHMED BAJABER Nimepata taarifa hii leo mchana kuwa Mzee Salim Ahmed Taib Bajaber Mkurugenzi Mkuu wa Pembe Flour Mills (PFM) amefariki Mombasa na kazikwa Markaz Madina, Amkeni Kikambala. Nilimfahamu Mzee Salim mwanzoni mwaka wa 2004 yeye na wakurugenzi...
  9. Taazia: Augustino Lyatonga Mrema (1944 - 2022)

    TAAZIA: AUGUSTINO MREMA (1944 - 2022) Mohamed Mlamali Adam alimwandikia taazia Thabit Kombo alipofariki. Kalamu ya Mlamali akiandika kwa lugha yeyote iwe Kiswahili au Kiingereza inastarehesha lakini pia inaumiza kwani inakata kama upanga wa Sayyidna Ali. Naisoma taazi na kuirejea mara mbili...
  10. Taazia Fupi: Kitwana Selemani Kondo 2017

    TAAZIA FUPI KWENYE MAZIKO YA MZEE KITWANA SELEMANI KONDO 2017 Naeleza siku aliyonipa jina la "mole," (kachero, jasusi)wa Waingereza aliyekuwa ndani ya uongozi wa juu wa TANU 1954. Naeleza mkutano wa siri nyumbani kwa Hamza Mwapachu, Nansio Ukerewe mwaka wa 1953 kujadili kumwingiza Julius...
  11. Kumbukumbu ya kifo cha Rais Benjamin William Mkapa

    TAAZIA YA DR. DAU KWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA NA YALE MAKUBWA NA MAZITO AMBAYO HAKUYASEMA Hakuna kitu kinagusa fikra na linabaki akilini na kuhifadhika kwengineko kama neno lililoandikwa. Aliyesoma taazia ya Dr. Dau kwa rafiki yake Benjamin William Mkapa atakuwa ameona kanitaja kuwa mimi ndiye...
  12. Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

    KWA NINI BENJAMIN MKAPA ALISHINDWA KUCHAPA TAAZIA YA ABDUL SYKES KATIKA THE NATIONALIST BRENDON GRIMSHAW AKACHAPA "OBITUARY" YA ABDUL SYKES KATIKA SUNDAY NEWS (TANGANYIKA STANDARD)? Mgogoro wa EAMWS nimeueleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes. Vyombo vilivyohusika katika mgogoro ule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…