Serikali imewataka wananchi kuepuka kutupa majokofu ya zamani na vifaa vya kuzima moto vyenye kemikali zinazoharibu Tabaka la Ozoni au kuongeza joto duniani. Aidha, wananchi wanashauriwa kuepuka kuingiza nchini gesi zilizopigwa marufuku na vifaa vinavyotumia gesi haribifu kama vile majokofu na...