Baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli, maji nayo yakafa Kinyerezi.
Hivi sasa maji yanatoka mara moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika ikiwemo mitaa ya St Alex kwa Babu Ali hadi Sihaba.
Maji ambayo hayana hata presha ya kupanda kwenye tanki yanatoka masaa matatu na kukatika...
Group limeundwa na watu wa DAWASA wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi.
Mh. Waziri anahangaika huku na kule lakini wafanyakazi wa DAWASA wachache wanafanya masihara na maisha ya wananchi.
Rais anahangaika huku na kule kuna wapuuzi wamekaa kwenye kiyoyozi wanashika videvu.
Mh...
Mimi kama mama. Naomba waziri waa mbie waache visa vyao, wanapogombana wao kwa wao anayeumia ni mama. Wasichana wadogo wanabakwa, wakinamama tunadhalilika. Jamani tuoneeni huruma mpate uongofu wa Mungu.
Hawa watu waache kumtesa mwanamke. Imetosha baasi.
Haiwezekani nadamka asb kuchota maji...
DAWASA KINYEREZI WAHUJUMU UCHUMI…
Hii ni habari ni inayopaswa kuchukuliwa na kufanyiwa kazi na Mamlaka nyingine za nchi kwa haraka sana.
Ni hivi, kutokana na uhitaji wa maji kuongezeka na watumiaji kuwa wengi, Serikali iliamua kuanzisha ofisi nyingine kwa upande wa Tabata kwa kufungua ofisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.