Asalaam aleykum jamiyah,
Nalazimika kuuliza na kuhoji inakuwaje mkandarasi anashindwa kutoa ushauri makini, juu ya ujenzi wa bara bara, unaorudiwa mara kwa mara na kupoteza fedha za umma kila kila wakati badala ya fedha hizo kutumika kwenye mambo mengine ya kimaendeleo? Kwanini kila wakati tui...