1. Kumpa mtu kazi aidanye baada ya kumaliza umlipe ila umlipi kwa wakati kama alivyokamilisha kazi yako kwa wakati si vyema kutoa kazi ikiwa huna uhakika na malipo au unategemea uingiziwe ndo ulipe ongea mapema na mtu unayempa kazi, wengine hata wakishatoa advance pesa ya mwisho inasumbua...