Mwili wa mwanamuziki mkongwe, Bi. Tabia Shabani Mwanjelwa, aliyefariki dunia Januari 25, 2025, huko Saarbrücken, Ujerumani, anakoishi na familia yake, unatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatatu, Februari 17, 2025, saa tano asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa binti yake kipenzi, Jane...