tabia na mataifa ya wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nchi wanazotoka wachezaji, hulka na tabia zao ( zingatia haya kipindi cha usajili)

    1. GHANA Kuna wachezaji wana vipaji vikubwa lakini ni wapenda starehe na wavivu mno. Ukimsajili Mghana tegemea utendaji kazi wa hovyo, kusumbuka makocha na Kambi ya team. Ni wazuri kwenye kuingia mikataba ili wakusumbue uvunje mkataba wapige hela waende zao. Mfano: Morison, Okrah, Asamoh, Afiz...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…