Tuanzie na mifano michache kabla ya kuelimishana juu ya USTAARABU:
Mfano wa matumizi ya kifungashio:Mtu ananunua bidhaa, akisha kuitumia, kifungashio chake anakitupa sehemu yoyote ile, mfano maji, vyakula, n.k. Hii ni tabia isiyo na ustaarabu, kwani kifungashio kinachotupwa ovyo kinachafua...
Wanawake kipi cha muhimu kwako mwanaume kuwa nacho, pesa au mapenzi ya dhati?
Na kwa mabaharia kipi muhimu kwako mwanamke kuwa nacho, tako au tabia nzuri?
Twende kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.