Salaam kwa wote,
Ni kweli maisha yana changamoto nyingi hilo halina ubishi, Pia ni kweli tumeumbwa kila mmoja na uwezo wake wa kukabiliana na changamoto za maisha.
Point yangu ya msingi ni kuwasihi watu wenye tabia ya kukata tamaa haijalishi unapitia chagamoto gani, iwe ni magonjwa, changaoto...