Habarini,
Yaani unampigia mtu simu kuongea labda maswala ya kazi amapokea simu huku akiwa anakula na kuendelea kuongea huku likitafuna chakula ni tabia ambayo inakera na siyo ustarabu.
Kwani ukipokea simu ukatuma sms ukaomba akupigie simu badae kwakuwa unakula kuna shida gani???
Ebu...
Sio mwaandishi mzuri ila nimesoma.
Mazingira ni kichocheo kimona wapo cha tabia ya mtu hivyo alivyo ni kutokana na mazingira yamemfanya hawe ivyo alivyo.
Kuna watu tunawalaumu watu kuwa wanatabia mbovu ila ni kwamba tabia walizo nazo ni mazingira yamewashape ivyo.
Nini nataka kusema just...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.