Wadau wa JamiiForums, habari!
Kuna mambo fulani ukiyatafakari sana kuhusu sisi Watanzania, unajikuta unashangaa na kustaajabu! Ni kana kwamba kuna mfumo maalum unaotusukuma kurudia makosa yale yale, bila kujifunza, bila kubadilika, na bila kuona aibu. Je, ni nini hasa kinachoturudisha nyuma...