Dereva anataka kuingia barabarani toka barabara ndogo, au kukatisha barabara kuingia kulia, na wewe hutaki kumruhusu au kusimama ili aingie au kukatisha barabara.
Unaruhusiwa kuingia barabarani au kukatisha na dereva mwingine, na wewe hutoi shukurani kwa ishara ya taa au hata kupunga mkono wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.