Kuna jambo moja hatulifahamu sisi Waafrika nalo si jengine bali ni kulinda tamaduni zetu za Kiafrika,tumeshindwa kabisa kulinda tamaduni za kiafrika kutokana na changamoto za kimazingira ambapo kimsingi kunakuwa na athari katika tamaduni zetu.
Tamaduni ni mfumo mzima wa maisha ni kitu ambacho...
Wakuu,
Ukitembea tembea Duniani utagundua tabia za watu huendana na race yao. Mfano unakuta watu wa Afrika karibia wote tunataka kufanana tabia zetu isipokuwa watu wachache sana. Najua suala la tabia huweza kubadilika kutokana na factors mbalimbali, hivyo naimani kupitia uzi huu huenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.