tabora polytechnic college

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    KERO Mamlaka zimeshindwa kudhibidi Vijana wanaovamia Watu, kuwajeruhi na kupora katika Mitaa ya Tabora Polytechnic College?

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College ambacho kipo Ipuli, hapa chuoni kwetu pamoja na mitaa ya karibu na hapa kuna kundi la Vijana wanaojiita Mabamzi ambao ukikutana nao barabarani hasa majina ya usiku au jioni badi tambua kazi ipo. Hawa vijana wamekuwa wakipiga watu...
  2. A

    KERO Chuo cha TPC na namna mbaya wanayowafanyia wanafunzi/ wateja wao

    Hakuna chuo ambacho walimu ni Mungu watu kama Tabora Polytechnic college kuna madudu mengi yanafanyika hapa hasa kwenye ngazi ya Famasi Diploma mfano kuna mwalimu style yake aisee hapana inabidi achukuliwe hatua. Unakuta mwalimu anatumia lugha mbaya sana darasani mfano anamwambia mwanafunzi wa...
  3. DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

    Wazazi wa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne 2023 wamepokea ujumbe mfupi wenye taarifa halisi za Watoto kutoka Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini. Ujumbe huo ulisomeka kuwa, Mkuu wa chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini anakutangazia nafasi za masomo mzazi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…